Author: Thani Chikira
Kibarua cha Solskjaer Manchester matatani
Klabu ya Manchester United imepoteza michezo mitatu katika michezo yao minne ya mwisho. Baada ya mpira wa adhabu (pentali) ya mchezaji wao Bruno Ferna [...]
HATARI, Kutembea peku kwenye tiles si salama
Mazingira tunamoishi yanaweza kuwa na hatari nyingi zinazotuzunguka pasi nasi kujua. Yapo madhara ambayo tunapata kutokana na tabia zetu au mazoea na [...]
Majina ya walioitwa kwenye usaili wa kazi Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi limetangaza majina 1,475 ya vijana walioomba kujiunga na jeshi hilo ambapo usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Dodoma kuanzia Sept [...]
Yafahamu Magereza 10 yenye starehe zaidi Duniani
Ukifiria gereza/jela, ni aghalabu sana kufikiria starehe na anasa ndani yake. Lakini Dunia haijawahi kuacha kutushangaza kila uchwao. Haya hapa magere [...]
Marais wa Tanzania waliowahi kutoa hotuba Baraza la Umoja wa Mataifa (UN)
1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1961 - 1985)
Mwalimu Julius Nyerere ameshiriki mara tano katika Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa lakini a [...]
Msigwa: Uwekezaji wakaribia Dola Bilioni 3 ndani ya miezi mitano
Tanzania imesajili kampuni na taasisi za uwekezaji wenye thamani ya Dola Bilioni 2.9 ndani ya miezi mitano kuanzia Machi 2021. K [...]
Rais Samia awasili Marekani, apokelewa kwa shangwe
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Mara baada ya kuwasili jijini New Yo [...]
Fahamu aina 10 za magari yanayoongoza kutumika Tanzania
10.Subaru Impreza
Ulihisi ni ipi? Kama jibu lako ni Subaru Impreza hakika uko sahihi. Gari hiyo ambayo imeshika nafasi ya 10, injini yake i [...]
Mfahamu Mchungaji wa kwanza mwanamke toka jamii ya Kimasai
Mchungaji Rebecca Maduley Kurubai, anaingia katika rekodi kuwa Mwanamke kutoka kabila la kimasai Tanzania kupadrishwa katika Kanisa la Kiinjili la Kil [...]