Author: Thani Chikira
Watanzania watatu wakamatwa kwa mauwaji Uganda
Watanzania watatu wamekamatwa nchini Uganda kwa shutuma za mauaji ya Emmanuel Deus mtunza fedha wa kampuni ya GEM James Gold Processing, Kwa mujibu wa [...]
Rushwa yanuka TARURA, Afisa Ugavi abanwa na TAKUKURU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohammed Mchengerwa ametoa agizo la kusimamishwa kazi kwa Afisa Ugavi M [...]
Shehena yenye sumu ya NUKLIA kuja Tanzania yakamatwa Kenya
Serikali ya Tanzania imetoa tamko kwamba haina taarifa kuhusu shehena ya taka zenye sumu ya nuklia zilizokuwa zinasafirishwa kuletwa Tanzania.
"Hat [...]
Zitto Kabwe afunguka sakata ya kuachiwa kwa Mbowe
Hadi kufikia mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika hatua nzuri ya kuelekeza ukomavu wa demokrasia ya vyama vingi. Licha ya watu wengi kuonekana kuunga m [...]
“Vita kwa Nzige furaha kwa Kunguru”, Tanzania inavyonufaika kiuchumi mgogoro kati Uganda, Kenya na Rwanda
Hali ilivyo kwa sasa ni kwamba Tanzania ni mnufaika mkubwa kiuchumi kutokana na mgogoro wa kibiashara unaoendelea kati ya Uganda dhidi ya Kenya na Rwa [...]
Jambazi asamehewa na polisi, baba amkataa
Baada ya kukiri kwamba alikuwa jambazi wa muda mrefu huku akiahidi kuwa raia mwema na kwamba kamwe hatafanya uhalifu, Jeshi la Polisi mkoani Geita lim [...]
Mambo matano ya kufanya J’Pili uifurahie J’tatu yako
Kuna hisia fulani nzuri hutujui siku ya Ijumaa, na kubwa hapa sio siku husika, bali ni wikiendi iliyo mbele yetu. Lakini kwa upande mwingine hali huwa [...]
Lugha 5 za mapenzi wanazopenda wanawake zaidi
Miezi ya mwanzoni katika mahusiano huwaga ya furaha na mara nyingi ni ngumu sana kuona makosa ya mwenzi wako, Lakini mnapokaa muda mrefu kwenye mahusi [...]
Mambo muhimu yakuzingatia kabla, baada ya kununua kondomu
Baadhi ya vijana hujiweka katika hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa yanayo ambukizika kwa kujamiiana bila kutumia kinga kwa sababu manunuzi ya ko [...]
Gwajima, Polepole kikaangoni
Kamati ya Halamashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa imeazimia kuwaita Jerry Silaa, Askofu Josephat Gwajima na Humphrey Polepole ili kuwas [...]