Bajeti ya serikali 2022/23 imepita kwa 94%

HomeKitaifa

Bajeti ya serikali 2022/23 imepita kwa 94%

Bajeti ya Serikali ya 2022/23 imepita kwa asilimia 94 baada ya kupigiwa kura za ndio 350. Idadi ya wabunge ilikua 380 na 379 walipiga kura. 

NDIO- 350

HAPANA- 0

HAWAJAAMUA- 23

11 hawakuwepo bungeni. Spika hakupiga kura kwa mujibu wa kanuni za Bunge.

 

error: Content is protected !!