BASATA: Hakuna msanii kutolewa kwenye tuzo

HomeKitaifa

BASATA: Hakuna msanii kutolewa kwenye tuzo

Baada ya kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa wasanii kuhusu uwepo wao kwenye baadhi ya vipengele vya kuwania tuzo za muziki na wengine kutaka kujitoa kwenye vipengele hivyo, Baraza la Sanaa la Taifa limetoa taarifa kwamba kwa sasa haitowezekana msanii kutolewa kwenye mfumo hivyo wajitangaze washinde tuzo hizi.

error: Content is protected !!