Kumbe Zuchu anachukua 25%.

HomeBurudani

Kumbe Zuchu anachukua 25%.

Mwigizaji na Mtangazai wa Clouds Fm, Mwijaku amesema kwamba msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ni tapeli.

“Nimesikia kuna wasanii wanatoka mikoani wanakuja nao walishatpeliwa, kuna wakina mama waliambiwa watapewa kodi na walirekodiwa na wanaandamana nasikia jumatatu wanafanya press, waliambiwa watalipiwa kodi kaya 500, wakajitokeza wakarekodiwa matokeo yake amelipiwa mmoja tu. wamesema watajitokeza, walemavu wote walidanganywa watajitokeza, jumatatu wote watakuja kuzungumza na huu ndio mwisho,” alisema Mwijaku.

Mwijaku pia amesema kwa mahojiano aliyofanya Harmonize, itawafungulia milango wasanii wengine kama Zuchu ambapo aliweka wazi kwamba mwanadada huyo analipwa asilimia 25 huku mbosso akilipwa asilimia 30 kutoka kwenye lebo ya Wasafi lakini sasa wataenda kupewa nusu ya faida.

error: Content is protected !!