Bashungwa: “Nakupa miezi mitatu”

HomeKitaifa

Bashungwa: “Nakupa miezi mitatu”

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amempa miezi mitatu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Palela Msongela kubadili utendaji wake.

Amemtaka kutathmini utendaji wake kwenye usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya na ujenzi wa jengo la halmashauri ambao umechukua muda mrefu zaidi ya ilivyotarajiwa.

amesisitiza kuwa baada ya miezi mitatu bila mabadiliko, hataweza kuendelea kumvumilia.

error: Content is protected !!