Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, amefunguka kuwa asilimia 60 ya mauzo ya wimbo wake unaofanya vizuri wa ‘Last Last” yatachukuliwa na mkongwe wa muziki kutoka Marekani Toni Braxton.
Hii ni baada ya ku-sample ngoma ya mkongwe huyo iitwayo ‘He wasn’t enough’