Burna Boy ampa Toni Braxton 60% mauzo ya ‘Last Last”

HomeBurudani

Burna Boy ampa Toni Braxton 60% mauzo ya ‘Last Last”

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, amefunguka kuwa asilimia 60 ya mauzo ya wimbo wake unaofanya vizuri wa ‘Last Last” yatachukuliwa na mkongwe wa muziki kutoka Marekani Toni Braxton.

Hii ni baada ya ku-sample ngoma ya mkongwe huyo iitwayo ‘He wasn’t enough

error: Content is protected !!