Category: Biashara

1 4 5 6 7 8 11 60 / 103 POSTS
Viwango vya kubali fedha Aprili 8, 2022

Viwango vya kubali fedha Aprili 8, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Karume yaungua tena

Karume yaungua tena

Vibanda ndani ya soko la Karume mkoani Dar es Salaam vimeungua kwa mara nyingine, alfajiri ya saa 11 leo, Aprili 8, 2022. Kamanda Elisa Mugisha wa [...]
Vita ya Urusi-Ukraine ilivyoathiri bei za mafuta

Vita ya Urusi-Ukraine ilivyoathiri bei za mafuta

Kupanda kwa bei ya mafuta kumewaacha wamiliki wa vyombo vya moto, madereva daladala hata watembea kwa miguu kutaharuki pasi na kujua kuwa Tanzania si [...]
Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta

Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta

Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.  Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea [...]
Rostam Aziz awa mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

Rostam Aziz awa mmiliki mpya wa Tigo na Zantel

Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz na muungano wa kampuni ya Axian Group Ltd ya Madagascar wamekamilisha ununuzi wa Tigo Tanzania na Zantel. Ra [...]
Kodi zaipaisha TRA

Kodi zaipaisha TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi uliopita imekusanya Sh trilioni 2.06 katika lengo la kukusanya Sh trilioni 1.98 taarifa iliyotolewa na [...]
Mange amkana mbea wake

Mange amkana mbea wake

Mmiliki wa MangeKimambi App, Mange Kimambi amesema msichana aliyekamatwa na mke wa msanii Roma Mkatoliki sio mfanyakazi wake na hivyo kinachoendelea n [...]
Fursa za kibiashara Magomeni Kota

Fursa za kibiashara Magomeni Kota

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nyumba 644 za Magomeni Kota leo Machi 23, 2022 na kuainisha fursa kadha wa kadha za kibiashara katika makazi hayo. [...]
Insta yamfungia Kanye: apanga kuja na mtandao wake

Insta yamfungia Kanye: apanga kuja na mtandao wake

Kampuni ya Meta imemfungia rapa Kanye West "Ye" kutopost kwa saa 24 kuanzia jana Machi 16 baada ya rapa huyo kupost picha ya mchekeshaji Trevor Noah n [...]
Kenya na Tanzania zaondoa vikwazo 56 vya kibiashara

Kenya na Tanzania zaondoa vikwazo 56 vya kibiashara

Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo vingine 10 vya kibiashara na kutimiza jumla ya vikwazo vilivyoondolewa kufikia 56 baada y [...]
1 4 5 6 7 8 11 60 / 103 POSTS
error: Content is protected !!