Category: Biashara

1 … 6 7 8 9 10 11 80 / 108 POSTS
Jinsi kampuni za simu Tanzania zinavyoweza kutoa taarifa za siri za wateja wao

Jinsi kampuni za simu Tanzania zinavyoweza kutoa taarifa za siri za wateja wao

Mtumiaji wa huduma za mawasaliano ana haki mbalimbali zinazopaswa kulindwa na mtoa huduma za mawasiliano. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) im [...]
Mambo matano ya kuzingatia kwenye barua ya kuomba kazi

Mambo matano ya kuzingatia kwenye barua ya kuomba kazi

Barua ya maombi ya ajira ina nafasi kubwa sana katika safari yako ya utafutaji. Uandishi mbaya wa barua unaweza kukosesha kazi ambayo una kila sifa za [...]
Mambo 5 ya msingi kuzingatia unapotafuta jina la biashara

Mambo 5 ya msingi kuzingatia unapotafuta jina la biashara

Jina la biashara ni kitu muhimu na moja ya utambulisho wa kwanza wa bidhaa zako katika soko hivyo ni muhimu kuwa na uhakika na jina unalotaka kutumia [...]
Apple yaondoa Application ya Quraan kwenye simu zake

Apple yaondoa Application ya Quraan kwenye simu zake

Kampuni ya Apple, watengenezaji wa simu za iPhone imeondoka programu tumizi “app” ya ‘Quran Majeed’ kwenye simu za iPhone zinazotumika nchini China. A [...]
Tovuti 6 unazoweza kulipwa ukifanya kazi ‘online’.

Tovuti 6 unazoweza kulipwa ukifanya kazi ‘online’.

Kama unapitia changamoto kuhusu jinsi gani utakuza uchumi wako ikiwa hauna mtaji wa kuanzisha biashara au haujui wapi utaajiriwa, basi ujuzi wako unaw [...]
Apple kusitisha kuzalisha iPhone 13

Apple kusitisha kuzalisha iPhone 13

Kampuni ya Apple kuacha kuzalisha iPhone 13 kwa muda kutokana na uhaba wa vipuli (spare) aina ya ‘chip’, kipuli ambacho hufanya simu za iphone kufanya [...]
Zifahamu kompyuta 5 nzuri kutumiwa na mwanachuo

Zifahamu kompyuta 5 nzuri kutumiwa na mwanachuo

Mbali na kalamu, daftari na kikokotoo, zana nyingine muhimu chuoni ni kompyuta binafsi (laptop) ambayo itakusaidia katika kukamilisha majukumu yako ya [...]
Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Kampuni ya Facebook imesema kuwa imepokea malalamiko toka kwa watumiaji zaidi ya 30,000 wakidai kuendelea kukosa huduma ya mtandao wa Facebook pamoja [...]
Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Biashara ya kuuza na kununua akaunti za mitandao inazidi kukua siku baada ya siku. Moja kati ya ‘akaunti’ zilizo katika uhitaji (demand) mkubwa kwa sa [...]
Whatsapp kuja kivingine

Whatsapp kuja kivingine

Mtandao wa Whatsapp umesema upo kwenye majaribio ya kuweka mfumo mpya wa kusikiliza ujumbe wa sauti (voice note) ambao utamuwezesha mtumiaji kusikiliz [...]
1 … 6 7 8 9 10 11 80 / 108 POSTS
error: Content is protected !!