Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

HomeKimataifa

Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Kampuni ya Facebook imesema kuwa imepokea malalamiko toka kwa watumiaji zaidi ya 30,000 wakidai kuendelea kukosa huduma ya mtandao wa Facebook pamoja na Instagram tangu siku ilipotokea tatizo la kuzima kwa mitandao hiyo duniani.

> App mbili unazoweza kuzitumia badala ya WhatsApp

Facebook wamesema taarifa hizo zimepatikana kutokana na  ‘Down Decter’ ambayo huchunguza ufanyaji kazi wa intaneti. Kampuni hiyo imeeleza kuwa inafanya jitahada kuhakikisha hali ya kawaida inarejea. #clickhabari

error: Content is protected !!