Category: Elimu
Miaka 90 ya Desmundu Tutu na kumbukizi ya Sera ya Kibaguzi Afrika Kusini
Askofu Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Oktoba, 7 1931 katika mji wa Klerksdorp Afrika Kusini. Wazazi wake walitoka makabila ya Xhosa na Tswana na akiwa m [...]
Kikongwe wa miaka 100 mahakamani kwa makosa wakati wa vita ya pili ya Dunia
Kikongwe mwenye umri wa miaka 100 ambaye alilitumikia Jeshi la Ujerumani (SS guard) wakati wa vita ya pili ya Dunia, kesi yake itaanza kusikilizwa leo [...]
Ishara 7 kuwa Mama mkwe wako hakupendi
Wanawake wengi wanapitia chanagamoto za ugomvi kwenye ndoa zikihusuishwa na mama wakwe utajuaje kama mama mkwe wako hakupendi hizi hapa ni ishara aza [...]
Historia: Mtanzania ashinda Tuzo ya Nobel
Tuzo za Nobel katika Fasihi (Nobel Prize in Literature) imetolewa leo na kushuhudia Mtanzania Abdulrazak Gurnah, akishinda tuzo hiyo.
Abdulrazak Gu [...]
Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete
Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Oktoba 7, 2021, kila mtu ameonesha hisia zake katika kush [...]
Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vilemea aina nne: P falciparum, P Malarie, P. Ovale na P. vivax. Vimelea hivyo hubebwa na kusambazwa na mbu jike [...]
Uonapo dalili hizi, jua anataka kujiua
Kila baada ya sekunde 40 mtu mmoja mahali fulani hukatisha uhai wake duniani hasa watu wanaokabiliwa na unyanyapaa, kama vile wakimbizi na wahamiaji, [...]
Mbinu 5 za kumaliza tatizo la uvivu kazini
Kama uvivu utapewa nafasi kubwa katika shughuli za kikazi na biashara, hujenga tabia ambayo ikiota mizizi inaathiri kabisa maisha ya mtu. Huenda nawe [...]
Utafiti: Namna Vitamin A inavyoweza kutibu tatizo la UVIKO-19
Chuo Kikuu cha East Anglia kinafanya majaribio ya wiki 12 ambapo tayari kuna watu maalum wamejitolea kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye utafiti huo [...]
Zifahamu kazi ambazo haziathiriwi na teknolojia
Teknolojia inapokuja inakuwa na faida zake na hasara zake, ukuaji wa teknolojia haswa katika mataifa yalioendelea umepelekea kuwepo na roboti zenye uw [...]