Category: Elimu
Vyakula 6 vinavyoongeza Nguvu za Kiume Haraka
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo meng [...]
Uonapo ishara hizi 4, badili tairi za gari yako
Maisha yetu yana mihangaiko sana, kiasi cha kukosa muda kutazama usalama wa mazingira yetu.
Ni nani hutazama tairi za gari lako kujua kama bado ni [...]
Hatari 4 za kutoka na kimapenzi na rafiki yako
1. Ngono inaweza kubadili kila kitu
Ngono ina tabia na kubadili vitu, na kama ukishiriki tendo la ndoa na rafiki yako kwa karibu, haina ain [...]
Nchi za Afrika zenye waziri wa Ulinzi mwanamke
1 . Sudani Kusini - Angeline Teny
2. Kenya - Monica Juma
3. Afrika Kusini - Thandi Modise
5. Zimbabwe - Oppah Muchi [...]
“Utafiti: Bodaboda inavyoweza kuharibu iPhone yako”
Kama unataka Camera ya iPhone 12 yako iwe na ufanisi wa hali ya juu muda wote, basi unapaswa kuiweka mbali na “vibration” zitokanazo na pikipiki/bodab [...]
Applications 7 muhimu kuwa nazo kwenye simu
1. Word Lens
Kazi hii ya application ni kutoa tafsiri ya maneno mbalimbali kwa kuyapiga picha. Ukifika katika eneo ambalo hujui lugha ya ha [...]
Serikali kununua ndege 5 za mafunzo ya urubani
Serikali imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha.
Naibu Waziri wa Uj [...]
Mambo matano madogo yanayoweza kusambaratisha ndoa yako
1. Urafiki wa jinsia tofauti
Kama mwanandoa una tatizo linalokusibu, unapotafuta mtu wa kukushauri, hakikisha anakuwa labda kiongozi wa kir [...]
Zijue siri tano za kuwa tajiri
1. Malengo ya kusaidia wengine
"Kama unaanzisha biashara kwa malengo ya kuwa tajiri, hakika hutokua".. John D. Rockefeller. Facebook ilipoanzishwa na [...]

Njia sahihi za kukuza biashara yako kupitia mtandao (Digital Marketing)
Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijitali hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali.
U [...]