Category: Kimataifa
Makamu wa Rais wa Gambia awasili Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Gambia, Mhe. Muhammad Jallow amewasili jijini Dar es Salaam ambapo anamwakilisha Mheshimiwa Rais Adama Barrow katika Mkut [...]
Naibu Waziri Mkuu wa Eswatini awasili nchini
Naibu Waziri Mkuu wa Ufalme wa Eswatini, Mheshimiwa Thulisile Dladla, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu [...]
Waziri Mkuu wa Niger atua Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Niger, Mheshimiwa Ali Mahaman Lamine Zeine, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu [...]
Mapato ya bandari yashuka tani mil 30.9
Bandari kubwa zaidi nchini Msumbiji imeripotiwa kushuka kibiashara kwa mwaka 2024 kutokana na vurugu za uchaguzi.
Vurugu hizo za uchaguzi ikiwemo m [...]

Rais Samia aeleza Tanzania ilivyofanyia kazi mapendekezo ya WHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Dkt. Tedros Abhanom, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la A [...]
Kufuatia mashambulizi ya Israel idadi ya vifo Gaza vyafika 77
IDADI ya vifo kutokana na mashambulizi ya angani ya Israel huko Gaza imefikia 77, saa chache baada ya kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano [...]
Tanzania namba moja katika ya maeneo 20 za kutembelewa 2025
Mtandao wa U.S. News & World Report unaojihusisha na maswala ya safari na utalii umetaja maeneo 20 muhimu kwa watalii kutembelea Afrika 2025 ambap [...]
Rais Samia apanda viwango Forbes
Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani akishika nafasi ya 91 [...]
Ushindi wa Rais Mpya Mwanamke wa Namibia: Ishara Mpya ya Kuinuka kwa Viongozi Wanawake Afrika
Tarehe 4 Desemba 2024, historia mpya imeandikwa nchini Namibia baada ya Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, kushinda nafasi ya urais na k [...]
SADC yasisitiza uchaguzi wa amani Namibia
Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa wito kwa wananchi wa Namibia kukumbatia amani na umoja kabla [...]