Category: Kitaifa
Wafanyabiashara wakimbilia fursa SGR
BAADHI ya wafanyabiashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasafirishiwa mizigo yao kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma waka [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia [...]
Umeme nyumba kwa nyumba
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasish [...]
Rais Samia azindua hoteli iliyozalisha ajira 400 kwa wazawa
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar yenye hadhi ya n [...]
Balozi wa Marekani aisifu SGR ya Tanzania
Balozi wa Marekani nchini, Michael Battle ameisifia treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa huduma bora na huku akisema amesafiri mabara manne duniani ila a [...]
Ujenzi barabara ya haraka Kibaha hadi Chalinze mbioni kuanza
Serikali imesema miradi inayotarajiwa kuanza utekelezaji mwaka 2025 ni ujenzi wa barabara ya haraka kutoka Kibaha hadi Chalinze yenye urefu wa kilomit [...]
Ruzuku ya mbegu na mbolea kutolewa kidigitali
Serikali ya Tanzania imesema mfumo mpya wa kigitali wa kusajili wakulima uliobuniwa hivi karibuni utasaidia wakulima kupata ruzuku ya mbolea kwa urahi [...]
Serikali yatangaza nafasi za ajira 3,633 za ualimu
Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 3,633 za walimu wa masomo mbalimbali ikiwemo ya Biashara, Ushonaji, Uashi, Umeme, Ufundi magari, Uchomeleaji na [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,548
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,548 kwa vigezo mbalimbali ambapo 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024 na 1,526 [...]
Rais Samia: Kwaheri Dkt. Ndugulile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi [...]