Category: Kitaifa

1 105 106 107 108 109 193 1070 / 1928 POSTS
Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu

Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu

Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, ma [...]
Watalii 320 watua Zanzibar

Watalii 320 watua Zanzibar

Miaka miwili baada ya watalii kutoka nchini Italia kusitisha safari zao kwenda Zanzibar kutokana na janga la Uviko-19, safari hizo zimerejea baada ya [...]
Mabeyo akabidhiwa Ngorongoro

Mabeyo akabidhiwa Ngorongoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mkuu wa Majeshi wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Mst Jen. Venance Salvatory Ma [...]
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo

Tahadhari upepo mkali usiku wa leo

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022   [...]
Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera

Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera

Katika kuhakikisha wakazi wanaohama kutoka Ngorongoro wanakuwa na maisha bora zaidi katika makazi mapya Msomera, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jam [...]
Rais Samia kumteua tena Mabeyo

Rais Samia kumteua tena Mabeyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kwamba CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, anataria kupangiwa kazi nyi [...]
Bweni la Bwiru Boys lateketea

Bweni la Bwiru Boys lateketea

Zaidi ya wanafunzi 70 katika shule ya wavulana ya Bwiru sekondari iliyopo manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada ya bweni kuteketea [...]
Mambo yazidi kupamba moto

Mambo yazidi kupamba moto

Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi f [...]
Mkuu mpya wa Majeshi ateuliwa

Mkuu mpya wa Majeshi ateuliwa

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha Cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda Kuwa Jenerali na amemteua Kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi-CDF. [...]
Mgeni rasmi siku ya Kiswahili duniani

Mgeni rasmi siku ya Kiswahili duniani

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yatakayofanyika kitaifa Julai 07, 2022 jijini Da [...]
1 105 106 107 108 109 193 1070 / 1928 POSTS
error: Content is protected !!