Category: Kitaifa

Moshi mweusi watanda urais wa Mpina
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, ikisema haukufuat [...]

Rais Samia: Haki izingatiwe Uchaguzi Mkuu 2025
Rais Samia Suluhu Hassan ameutaka umma wa Watanzania na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha haki inasimamiwa kikamilifu katika uchaguzi m [...]
Majina ya wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti maalum
Majina ya wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti maalum.
[...]
Fahamu majina ya waliotoka Chadema na kulamba teuzi CCM
Watano kati ya 19 waliokuwa wabunge Chadema wateuliwa CCM Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imewateua miongoni mwa waliokuwa wabunge 19 wa [...]
Madai ya Polepole yakanushwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wa uchaguzi unaotumika na Tume hiyo umeunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya [...]
TARURA yajenga madaraja 439 ya mawe, yaokoa Sh bilioni 75
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani [...]
TRC kumwaga ajira 2,460 SGR
Shirika la Reli Tanzania linatarajia kuajiri wafanyakazi 2,460 katika mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kwa vipande viwili vya Kutoka Dar e [...]
Ukomo wa gharama mgombea urais bilioni 9, ubunge milioni 136
Ofisi ya Msajili ya Vyama vya Siasa imesema wagombea urais wamewekewa ukomo wa kutumia Sh bilioni tisa kugharamia uchaguzi.
Mkuu wa Kitengo cha She [...]
Agosti 21 na 23 kujulikana hatma ya watia nia Ubunge CCM
Hatimaye mbivu na mbichi kuhusu nani atapewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwa nafasi ya ubunge iwe wa kuchaguliwa au vi [...]
Rais Samia Suluhu atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Maji
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Maji ‘Presidential Global Water Changemakers Awards 2025’ iliyotolewa na Global Water P [...]