Category: Kitaifa
Nafasi za kazi Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 247 zikihusisha madakitari bingwa 30, baada ya kupata Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa U [...]
Nafasi za kazi bungeni
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Iba [...]
Waliobaki Ngorongoro waomba kupelekwa Msomera
Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Kipenjiro, Kata ya Naiyobi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, wameomba serikali iharakishe mchakato wa kuwaha [...]
Bandari ya Mtwara yaanza kusafirisha makasha
Bandari ya Mtwara Mkoani Mtwara imezindua huduma ya meli ya kusafirisha makasha. Huduma hizo zimezinduliwa leo Aprili 20, 2023 na Naibu Waziri wa Ujen [...]
Nafasi 1,152 za ajira
Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Aprili 2023. Kusoma Maelezo kamili, kutuma maombi, tembelea linki hapa chini:
[...]
Madini ya kinywe na adimu kuvutia uwekezaji nchini
Serikali inatarajia kuvutia uwekezaji wa Dola za Marekani milioni 667 sawa na Sh1.5 trilioni baada ya kuanza kuchimba na kuchakata madini ya kinywe na [...]
Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia
Waziri wa Maliasili na utalii, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza dunia kuwa na idadi kubwa ya simba zaidi ya 17,000.
Mchen [...]
Uchumi wa Tanzania kuupita wa Kenya ifikapo 2028
Kinyanga'nyiro cha ukuu wa kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki kinatarajiwa kuchukua mkondo wa ushindani zaidi huku makadirio yakionyesha Tanza [...]
Juhudi za Rais Samia zapandisha uchumi wa Tanzania
Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa zaidi ya Dola za Marekani bilioni 16.02 katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na k [...]
Muungano 2023 kusherekewa kipekee
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 2023 yatafanyika katika ngazi y [...]