Category: Kitaifa
Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawekeza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye vyuo vya ufundi na stadi mbal [...]
Maboresho Bandari ya Tanga yamkosha Balozi wa Rwanda nchini
Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Meja Jenerali Charles Karamba amefanya ziara ya kutembelea Bandari ya Tanga.
Lengo la ziara hiyo pamoja n [...]
Royal Tour Tanzania yazidi kujibu
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imepokea meli nyingine iliyobeba watalii kutoka Ufaransa.
Meli hiyo ya utalii ijulikanayo k [...]
Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuingilia kati suala la Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kutaka ma [...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
CHADEMA kupokea milioni 102 ya ruzuku kwa mwezi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kimekubali kupokea ruzuku ya Sh. milioni 102 kwa mw [...]
Tanzania haidaiwi zaidi ya sh. trilioni 10 na EIB
Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazoonekana kupitia mitandao ya kijamii kuwa Serikali inadaiwa Dola z [...]
Rais Samia aridhia waliovamia eneo la Uwanja wa KIA kulipwa fidia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itawalipia fidia wale wote waliovamia eneo la Uwanja wa Ndege wa Ki [...]
Waandaaji wa Miss Tanzania wapinga wazo la Zuchu
Baada ya msaani Zuhuru 'Zuchu' kutumia Sash yenye jina la Miss Tanzania kwenye cover ya wimbo wake mpya wa NAPAMBANA. waandaaji wa mashindano ya Uremb [...]
Bodaboda Arusha wamjibu Lema kuwaita ‘wakimbiza upepo’
Uongozi wa Umoja wa Bodaboda wilayani Arusha (UBOJA) wamelaani kauli iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lem [...]