Category: Kitaifa

1 40 41 42 43 44 183 420 / 1829 POSTS
Vijana 812 wachaguliwa kujiunga programu ya kilimo

Vijana 812 wachaguliwa kujiunga programu ya kilimo

Vijana 812 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo maalumu ya Kilimo yanayoratibiwa na Wizara ya Kilimo. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza majin [...]
R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela

R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela

Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly, maarufu R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono. Kesi zisizoisha zim [...]
Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa mwezi mmoja

Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa mwezi mmoja

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeshauri Uwanja wa Benjamini Mkapa uliopo jijini Dar es Salaam kutotumika kwenye mechi zao kwa kile kilichoelezwa u [...]
Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF

Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa [...]
Ndoto ya 1975 yatimizwa na Rais Samia

Ndoto ya 1975 yatimizwa na Rais Samia

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kujenga upya [...]
Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini

Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini

Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) limesema inatarajia kupokea Ndege nne kwa mwaka huu ambapo ndege kubwa ya mizigo itawasili nchini mwishoni mwa mwezi M [...]
Lissu arejea Ubelgiji

Lissu arejea Ubelgiji

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Tundu Lisu amerejea nchini Ubelgiji kufanya mchakato wa kuhuisha kibal [...]
Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni

Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada kutumika katika shule za umma na binafsi [...]
Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme

Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za Serikali au binafsi pamoja na mashirika kuacha urasimu katika utekelezaji wa miradi ya umeme [...]
1 40 41 42 43 44 183 420 / 1829 POSTS
error: Content is protected !!