Category: Kitaifa
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]
Orodha ya majina ya viongozi wa Chadema na wananchi waliokamatwa
Jeshi la Polisi limetoa orodha ya majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa kosa la kwenda kinyume na katazo la kufanya maandano.
[...]
Tanzania ya kwanza Afrika ongezeko la watalii
Katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024, sekta ya utalii wa kimataifa imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watalii waliowasili katika nchi kadhaa, [...]
Nafasi 600 za kazi zatangazwa
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi [...]
Rais Samia awataka Watanzania kusimama imara na kuungana
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuungana na kukemea vitendo vya mauaji vinavyotokea nchini ili kukomesha matukio hayo badala [...]
Tanzania kuongeza usafirishaji wa gesi asilia kwa nchi jirani
Tanzania inasonga mbele na mipango ya kupanua usafirishaji wa gesi asilia kwa nchi jirani, zikiwemo Uganda, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (D [...]
Jeshi la Polisi lakemea maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku na kutoa onyo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kuendelea kuhamasisha wananchi kuji [...]
Uhusiano wa Tanzania na China ni endelevu
Rais Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Bei [...]
Rais Samia kufanya ziara China Septemba 02 hadi 06, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Jamhuri ya Watu wa China kuanzia leo tareh [...]
Rais Samia: JWTZ ni Jeshi la Ulinzi na kioo cha amani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa mafanikio yake makubwa kat [...]