Category: Kitaifa
Ifikapo 2030 Serikali imelenga kufikisha watalii milioni 8
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii wa ndani na nje milio [...]
Waliohudhuria mkutano ufunguzi wa bunge
Wageni na wawakilishi wa mataifa mbalimbali wamehudhuria ufunguzi wa Bunge 13, linalozinduliwa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan jijini Dod [...]
Bunge la Tanzania lairishwa, kurejea Januari 27, 2026
Baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kumaliza kulifungua rasmi na kulihutubia Bunge leo Novemba 14, 2025 jijini Dodoma, shughuli za Bunge z [...]
Hii hapa hotuba ya Mhe. Rais Samia akifungua Bunge la 13
Hotuba ya Rais Dkt. Samia akifungua Bunge la 13
[...]
Dkt Samia: Vijana ndio walinzi , msikubali kushawishiwa kuichoma Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amewaambia vijana kuwa Tanzania ni nchi yao, hivyo wasikubali kushawishiwa kuichomoa [...]
Waliokamatwa kwa vurugu kusamehewa
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29 [...]
Dkt Samia: Tutaongeza kasi kutekeleza tuliyoahidi
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhakikisha kunakuwa na kasi ya utekelezaji wa ahadi na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 202 [...]
Wakulima 368 mkoani Mara kunufaika na zana za umwagiliaji wa kisasa
Wakulima wadogo 368 kutoka mkoa wa Mara wamepata neema baada ya kukabidhiwa jozi 34 za mashine za umwagiliaji zenye thamani ya zaidi ya shilingi milio [...]
Makusanyo ya madini Simiyu yafikia zaidi ya 103%
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na Sekta ya [...]
UVCCM: Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani ni faraja kwa nchi jirani, hasa zile zi [...]

