Category: Kitaifa

1 80 81 82 83 84 182 820 / 1813 POSTS
Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayans [...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi

Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet

Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet

Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet, leo wametangaza mkataba wao wa udhamini wa miaka mitano wenye thamani ya [...]
Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee

Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuchangisha fedha kutoka kwa wanachama wake, kugharamia mawakili watakaosimamia kesi ya waliokuwa [...]
Aliyeteuliwa atenguliwa kabla ya uapisho

Aliyeteuliwa atenguliwa kabla ya uapisho

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na ametengua uteuzi wa Dk Raphael Chegeni. Taarifa ya Mkuru [...]
Magazeti ya leo Agosti 1,2022

Magazeti ya leo Agosti 1,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 1,2022. [...]
Bandari ya Dar inavyoimarisha soko la biashara

Bandari ya Dar inavyoimarisha soko la biashara

Ripoti mpya ya GBS Africa imeonyesha kwamba upanuzi mkubwa na uboreshaji wa ufanisi katika bandari kuu ya Tanzania ya Dar es Salaam umeiwezesha kutoa [...]
Aahidi kufunga taa na kamera Uwanja wa Ndege hadi Posta

Aahidi kufunga taa na kamera Uwanja wa Ndege hadi Posta

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Serikali ya Mkoa wake inakusudia kufunga taa na kamera za barabarani kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwa [...]
Jinsi ya kujikinga na homa ya Mgunda

Jinsi ya kujikinga na homa ya Mgunda

Licha ya ugonjwa huo kutokuwa tishio bado Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuchukua tahadhari za kujikinga ikiwemo kuepuka kunywa na kugusa [...]
1 80 81 82 83 84 182 820 / 1813 POSTS
error: Content is protected !!