Category: Michezo

1 8 9 10 11 12 15 100 / 149 POSTS
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 15, 2021

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 15, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Ijumaa, Oktoba 15, 2021. [...]
Clatous Chama, Fei Toto, Mukoko Tonombe, John Bocco uso kwa uso Oktoba 21

Clatous Chama, Fei Toto, Mukoko Tonombe, John Bocco uso kwa uso Oktoba 21

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa tuzo za msimu wa 2020/21 zitakazotolewa na Shirikisho hilo zitatolewa Oktoba 21, 2021, kw [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 14 (Phoden agomea mkataba mpya, huku Rabiot njia nyeupe kujiunga Newcastle)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 14 (Phoden agomea mkataba mpya, huku Rabiot njia nyeupe kujiunga Newcastle)

Kiungo wa kati wa Juventus Adrien Rabiot (26) anahusishwa kuwa moja ya wachezaji wanaowindwa na Newcastle United, taarifa kutoka Juventus zinasema kwa [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 13 (Chamberlain mbioni kurudi Arsenal, Man City ikimnyatia Haaland)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 13 (Chamberlain mbioni kurudi Arsenal, Man City ikimnyatia Haaland)

Klabu ya Liverpool ipo tayari kumuuza kiungo wake Oxlade-Chamberlain (28), kwa bei stahiki huku kukiwa na taarifa zinazomhusisha kurudi Arsenal (Mirro [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA

Chad yapata msamaha wa FIFA

Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 12 (Lacazette mbioni kuachana na Arsenal, huku safari ya Hazard kurudi Chelsea imepamba moto)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 12 (Lacazette mbioni kuachana na Arsenal, huku safari ya Hazard kurudi Chelsea imepamba moto)

Klabu ya Liverpool inamfuatilia kwa karibu winga wa Barcelona Ousmane Dembele, 24. Mkataba wa mchezaji huyo wa unamalizika mwisho wa msimu huu (Mundo [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 11 (Morata kuchukua nafasi ya Kane Tottenham, Adama Traore akinyatiwa na Liverpool)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 11 (Morata kuchukua nafasi ya Kane Tottenham, Adama Traore akinyatiwa na Liverpool)

Ralf Rangnick, aliyekuwa kocha wa klabu ya RB Leipzig ananyatiwa na Newcastle ili kuchukua nafasi ya ukurugenzi wa michezo (Telegraph). Wamiliki wa [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 10 (Pogba kutimkia Juventus, huku Newcastle ipo mbioni kumalizana na Steve Bruce)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 10 (Pogba kutimkia Juventus, huku Newcastle ipo mbioni kumalizana na Steve Bruce)

Klabu ya Juventus ina nafasi kubwa ya kumsajili Paul Pogba, ambaye mkataba wake na Manchester United upo mbioni kuisha, kama watafanikiwa kuwauza wach [...]
Mchumba wa Marehemu Khashoggi asikitishwa na Mwanamfalme kuinunua Newcastle

Mchumba wa Marehemu Khashoggi asikitishwa na Mwanamfalme kuinunua Newcastle

Baada ya Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia kuinunua klabu ya mpira wa miguu ya Newcastle United  inyoshiriki Ligi Kuu Uingereza, mchumba wa aliyekuwa mw [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 09 (Kane na Mbappe Newcastle, huku Van de Beek akielekea Barcelona)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 09 (Kane na Mbappe Newcastle, huku Van de Beek akielekea Barcelona)

Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle Demba Ba 36, amejitolea kuichezea klabu hiyo mpaka pale atakapostaafu baada ya klabu hiyo kuuzwa (Star). Meneja [...]
1 8 9 10 11 12 15 100 / 149 POSTS
error: Content is protected !!