Category: Siasa
Serikali kuwezesha wahitimu 10,000 kupata mafunzo ya uzoefu wa kazi kila mwaka
Serikali imesema imeandaa Mpango wa Taifa wa Mafunzo ya Uzoefu wa Kazi kwa Wahitimu (2026/27 – 2030/31) unaolenga kuwezesha wahitimu 10,000 kila mwaka [...]
Ndejembi ataka wanawake kupewa nafasi katika utatuzi wa migogoro
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, amezitaka nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu kuwapa wanawake nafasi yenye ushawishi katika maamuzi, mazungumzo ya ama [...]
Rugemeleza: Lissu ataanza mgomo wa kutokula kuanzia Jumatatu
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amesema kuanzia [...]
Kadogosa amwondoa Meneja wa TANROADS Songwe
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemuondoa katika nafasi yake Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Songwe Mhandisi Fredrick Mand [...]
Ndejembi: Kituo cha Kupooza Umeme Rukwa kitawezesha Tanzania kuuza umeme nchi jirani
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi amesema kukamilika kwa mradi wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Malangali, mkoani Rukwa, kutafungua ukuras [...]
Makamu wa Rais afanya ziara ya kushtukiza Mto Ng’ombe, Tandale
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, amefanya ziara ya kushtukiza katika eneo la Mto Ng’ombe, Tandale, Dar es Salaam, kukagua hali ya usafi wa mazingi [...]
Rais Mwinyi aunda Kamati ya watu 10 kusimamia mazungumzo ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameteua kamati ya pamoja ya watu 10 kusimamia mazungumzo ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kati [...]
Tanzania na DRC zakubaliana kuendeleza ushirikiano katika nyanja mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini, biash [...]
Karua: Mimi ndiye Rais ajaye wa Kenya
Kiongozi wa upinzani wa chama cha People’s Liberation Party (PLP), Martha Karua, amesema ana imani kuwa yeye ndiye Rais ajaye wa Kenya katika Uchaguzi [...]
Kizimkazi yapiga hatua kimaendeleo, Rais Samia awakaribisha wawekezaji
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tamasha la Kizimkazi limekuwa sehemu muhimu ya safari ya maendeleo na ustawi wa wananchi wa Wilaya ya Kusini, maeneo [...]

