CCM yatoa pongezi kwa wafanyakazi

HomeKitaifa

CCM yatoa pongezi kwa wafanyakazi

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa pongezi kwa wafanyakazi wote nchi kwa kuunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuongeza mishahara yao, kauli aliyoitoa jana siku ya maadhimisho ya Wafanyakazi.

error: Content is protected !!