Diamond amwaga sifa kwa Rais Samia

HomeBurudani

Diamond amwaga sifa kwa Rais Samia

Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi mzalendo na mwenye huruma na wananchi, wake baada ya kushiriki katika filamu ya Royal Tour inayotarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 21 mwezi Aprili mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa instagram, Diamond aliweka kipande cha video ya filamu hiyo na kumpa pongezi Rais Samia kwa kuweza kushiriki katika kuitangaza Tanzania kwenye upande wa utalii na kusema kuwa angekuwa kiongozi mwengine angeweza kutuma wawakilishi lakini yeye aliamua kushiriki kikamilifu.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by SIMBA..!? (@diamondplatnumz)

 

error: Content is protected !!