Baada ya Zuchu kujibu barua ya TCRA na BASATA kuhusu kufungiwa kwa video ya ‘Mtasubiri’, Diamond Platnumz naye amefunguka na kueleza kwamba haoni kosa lililopelekea kufungia kwa video hiyo.

Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu kufungiwa kwa video