EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta Mei 2023

HomeKitaifa

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta Mei 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano,Mei 03, 2023 saa 6:01 usiku.

Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-Wedness-3rd-_230502_223049
error: Content is protected !!