Fahamu haya kabla yaa kurekodi video za utupu

HomeElimu

Fahamu haya kabla yaa kurekodi video za utupu

Hivi karibuni video za utupu za watu zimekuwa zikivuja sana kwenye mitandao ya kijamii , huku swali kubwa likiwa ni kwanini wamejirekodi badala ya kwanini zimevuja.

Lakini watu hao hukirekodi wakiwa na sababu zao binafsi ila inatokea zinavuja kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao, hizi hapa ni sababu kwanini watu wanajirekodi video za utupu.

Ni raha

Simu zetu ni kama kitabu cha kumbukumbu, hivyo watu au mtu hujirekodi na kisha kuzihifadhi na kutazama baadae.

Watu huona raha kujirekodi na kisha baadae kuzitazama na wengine hufanya hivyo kisha kuwatumia wapenzi wao ili kufurahi nao.

Kujipa hamu ya tendo la ndoa

Wengine huamua kujirekodi video za utupu ili waweze kutazama baaadae kwani mwengine atazamapo video zake za ngono basi zinamletea hisia za tendo la ndoa haraka.

Kupata umaarufu

Kuna baadhi ya watu hujirekodi video za utupu na kisha kuzisambaza ili tu apata umaarufu kwa sababu anapenda kujulikana hivyo njia ya haraka yakuweza kutambulika ni kuwa na video za namna hiyo.

Mambo ya kuzingatia kabla ya kurekodi video za utupu:

  • Muwe na akili zenu timamu, msitumie pombe. sigara wala bangi.
  • Uaminifu kwa mtu unayeshirikiana naye katika tendo hilo.
  • Usitunze kwenye simu sababu huwezi jua nani atashika simu yako.
  • FUTA. mkimaliza kutazama video hizo hakikisha mnafuta wote kwa pamoja na hakuna ya ziada inayobaki.

 

error: Content is protected !!