Fahamu njia rahizi za kuandaa na kupika Soseji za Mayai

HomeElimu

Fahamu njia rahizi za kuandaa na kupika Soseji za Mayai

Huu ni mlo wa chap chap hasa pale asubuhi unapotaka kupata kifungua kinywa kabla ya kwenda kwenye mihangaiko yako ya kila siku.

Mahitaji:

Maelekezo:

  1. Pasua mayai yako kwenye bakuli safi yachanganye
  2. Kwenye hilo hilo bakuli kata kata soseji zako saizi unazopendelea
  3. Katia hoho kidogo
  4. Katia vitunguu nyembamba
  5. Katia nyanya ziepuke mbegu za nyanya
  6. Nyunyuzia pilipili manga na chumvi
  7. Dondoshe majani kidogo ya mint
  8. Changanya kwa pamoja
  9. Weka kikaangio jikoni na mafuta kiasi
  10. Mimina mchanganyiko wako
  11. Ukaushe vizuri kama unavyokausha mayai

Baada ya hatua zote hizo soseji zako za mayai zipo tayari unaweza kunywea chai, juisi, soda au hata maji.

error: Content is protected !!