Gharama mpya kuvuka Darajala la Nyerere (Kigamboni)

HomeMagazeti

Gharama mpya kuvuka Darajala la Nyerere (Kigamboni)

Kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa tarehe 6 Desemba 2021 kuhusu kufanya mapitio ya tozo za Daraja la Nyerere, Mfuko unapenda kuwatangazia wananchi wote kwamba, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kwa mujibu wa Kifungu cha 61 (1) NA (2) cha Sheria ya Barabara Na.13 ya mwaka 2007, ameridhia viawnago vipya vya tozo katika Daraja la Nyerere.

Gharama Mpya za Tozo hizo zipo kama zifuatavyo katika Jedwali.

 

error: Content is protected !!