GRAMMYS 2022: Afrika yaingiza watano (5) wasome hapa

HomeBurudani

GRAMMYS 2022: Afrika yaingiza watano (5) wasome hapa

Muda huu majina ya wasanii mbalimbali duniani yanatajwa kwenye vipengele mbalimbali kwenye kinyang’anyiro cha kura tuzo mbalimbali. Hizi zitakuwa tuzo za awamu ya 64 kutolewa tangu Grammy ianzishwe. Na majina ya wasanii kutoka Afrika ni kama ifuatavyo.

1. Do Yourself – Angelique Kidgo & Burnaboy
2. Pa Pa Pa – Femikuti
3. Blewu – Yoyo_Ma & Angelique Kidjo
4. Essence – Wizkidayo & Temsbaby
5. Black Coffee wa Afrika Kusini

Kama kawaida, kwa mara nyingine tena hakuna msanii kutoka Afrika Mashariki.

error: Content is protected !!