Harmonize aitwa wokovuni

HomeBurudani

Harmonize aitwa wokovuni

Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr.GeorDavie  kutoka Arusha ameupiga na kuucheza wimbo wa ‘Mwaka Wangu’ uliombwa na msanii wa Bongofleva na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize na kukiri kwamba ni kati ya wimbo mzuri na huwenda ukiwa ni njia ya nyota huyo kuitwa kwenye wokovu.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

error: Content is protected !!