Harmonize kuonyesha ujuzi peke yake

HomeBurudani

Harmonize kuonyesha ujuzi peke yake

Harmonize ameweka wazi kwamba tamasha lake la Afro East analotarajia kufanya mwishoni mwa mwezi huu, Mei 29 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam hakutokuwa na orodha ya wasanii itakayo tangazwa watakao lishambulia jukwaa hilo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

Aidha, Harmonize amebainisha kuwa hii ni show yake na wanaopaswa kuhudhuria ni mashabiki wake tu,

“Hii ni show ya Konde Boy wanaopaswa kuhudhuria ni Kondegang F.C tu.” – ameandika Harmonize.

Pia ameongezea kwamba atatumia saa 4 jukwaani na atatumbuiza jumla ya nyimbo 60 na kutakuwa na suprise nyingi siku hiyo.

 

 

error: Content is protected !!