Harmonize na Kajala wafikishwa kileleni na mashabaki

HomeBurudani

Harmonize na Kajala wafikishwa kileleni na mashabaki

Hii ni ishara kwamba mashabiki wa Harmonize wanakubali sana kazi zake na ndio maana kwa hiari yao wakaamua kupanda na picha ya msanii huyo akiwa na mpenzi wake wa sasa Kajala Masanja kwenye Mlima Kilimanjaro.

error: Content is protected !!