Makongoro: Nimenusurika

HomeKitaifa

Makongoro: Nimenusurika

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan wa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo.

Makongoro ameyasema hayo leo hii wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya shule ya sekondari Matui wilayani Kiteyo.

” Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea.” alisema Makongoro.

error: Content is protected !!