Harmonize na sigara za Tembo

HomeBiashara

Harmonize na sigara za Tembo

Msanii na Mmiliki wa lebo ya Muziki ya Konde Gang, Harmonize ametangaza nia yake ya kutaka kuanza kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza sigara zake alizozi[a jina la Tembo Cigarettes huku akikaribisha wawekezaji wanaotaka kuungana naye katika biashara hiyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Harmonizi ameandika kwamba anaona mtaani watu wanahitaji sana sigara hivyo ndio maana akaja na wazo la kutengeneza na kuuza za kwake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

error: Content is protected !!