Harmonize: Rayvanny mwanangu

HomeBurudani

Harmonize: Rayvanny mwanangu

Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize anazidi kuionyesha jamii na ulimwengu mzima kwamba bado anampenda aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na kusema endapo atarudiana naye basi atamfanya awe meneja wake kwani anaamini utendaji wake wa kazi na bidii kwenye kazi.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagrama Harmonize aliandika kwamba, endapo atarudiana na Kajala basi atakuwa meneja wake na pia atahakikisha anatoa ngoma nyingine na Rayvanny huku akiahidi kumlinda msanii huyu ambaye hapo awali walikuwa wote lebo ya Wasafi chini ya Diamond Platnumz.

error: Content is protected !!