Kigwangalla: Sijasema maneno hayo

HomeKitaifa

Kigwangalla: Sijasema maneno hayo

Aliyewahi kuwa Waziri wa Utalii na Maliasili, Hamis Kigwangalla amefunguka na kusema kwamba taarifa iliyotolewa na akaunti moja ya mtandao wa Twitter yenye jina la ‘Tanzania Leaks’ kuhusu kukubaliana na matakwa ya katiba mpya.

Taarifa iliyowekwa na Tanzania Leaks kuhusu Hamisi Kigwangalla

 

Leo Jumatatu Mei 9,2022, Mbunge huyo wa Nzega ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter akikana taarifa hiyo na kuiomba TCRA kuingilia katika pamoja na kuwachukulia hatua wahusikia wa Tanzania Leaks kwa kile anachodai kutungwa kwa maneno.

error: Content is protected !!