Konde Gang yawatema Killy na Cheed

HomeBurudani

Konde Gang yawatema Killy na Cheed

Taarifa kutoka uongozi wa lebo ya muziki nchini ya Konde Gang imesema kwamba , hivi sasa wasanii Ally Omary (Killy) na Rashid Daudi (Cheed) hawapo kwenye lebo hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Dr Sebastian Ndege (@jembenijembe)

Awali Killy na Cheed walikua chini ya uongozi wa Ali Kiba anayesimamia lebo ya King Music. Hivi sasa Konde Gang inabaki na wasanii watatu ambao ni Harmonize, Anjella na Ibra.

error: Content is protected !!