Leo afariki dunia

HomeBurudani

Leo afariki dunia

Muigizaji wa Nollywood Leo Mezie amefariki dunia Jumamosi mwezi Mei tarehe 14 mwaka huu jijini Abuja alipokuwa anaugua baada ya kupandikizwa figo.

Kifo cha nyota huyo wa sinema kilitangazwa na mwenzake Chioma Topis kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Jumatatu, Mei 16, 2022, ambapo alitangaza habari hiyo ya kusikitisha.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Chioma Toplis (@chiomatoplis)

Hadi kifo chake, Mezie alikuwa mwigizaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu wa Nollywood.

Alipata umaarufu mwaka wa 2003 baada ya kuigiza katika filamu ya ‘Labista’ pamoja na marehemu Ernest Asuzu na Jerry Amilo.

Roho yake ipumzike kwa amani.

 

 

error: Content is protected !!