‘Long Distance’ yawashinda, waamua kuachana

HomeBurudani

‘Long Distance’ yawashinda, waamua kuachana

Kwa mujibu wa tovuti ya ENews imeandika kwamba mahusiano ya mwanamitindo Kim Kardashian na Pete Davidson yamefika tamati baada ya kudumu kwa miezi 9

ENews wameandika kuwa mahusiano ya wawili hao yamevunjika baada ya Pete kuhamia nchini Australia kwa ajili ya maandalizi ya filamu yake mpya na kudai kwamba mahusiano ya mbali yamekuwa changamoto kwa wawili hao hivyo kuamua kuachana.

 

error: Content is protected !!