Panga Pangua ya Rais Samia

HomeKitaifa

Panga Pangua ya Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua maafisa 22 kuwa Majaji wa Mahakama Kuu kama ifuatavyo

1. Kevin David Mhina, kabla ya uteuzi huu alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani;

2. Gabriel Pascal Malata, kabla ya uteuzi huu alikuwa Wakili Mkuu wa Serikali;

3. Adrian Philbert Kilimi, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

4. Happiness Philemon Ndesamburo, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

5. Victoria Mlonganile Nongwa, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

6. Obadia Festo Bwegoge, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

7. Ruth Betwel Massam, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

8. Godfrey Ntemi Isaya, kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama;

9. Gladys Nancy Barthy kabla ya uteuzi huu alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama

10. Haji Suleiman Haji, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mwendesha Mashitaka Mfawidhi Mahakama Kuu, Zanzibar;

11. Fatma Rashid Khalfan, kabla ya uteuzi huu alikuwa Kamishna Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora;

12. Abubakar A. Mrisha, kabla ya uteuzi huu alikuwa Wakili wa Serikali;

13. Lasungu Hemed Hongoli, kabla ya uteuzi huu alikuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali;

14. Monica Peter Otaru, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali;

15. Kamana Stanley Kamana, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi Msaidizi (TAMISEMI);

16. Hamidu Rajabu Mwanga, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi;

17. Marlin Leonce Komba, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Sheria, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi;

18. Dkt. Mwajuma Kadilu Juma, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu Mzumbe;

19. Dkt. Cleophas K.K. Morris, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mhadhiri, Chuo Kikuu Dar es Salaam;

20. Asina A. Omari, kabla ya uteuzi huu alikuwa Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC);

21. Aisha Zumo Bade, kabla ya uteuzi huu alikuwa Wakili wa Kujitegemea;

22. Mussa Kassim Pomo, kabla ya uteuzi huu alikuwa Wakili wa Kujitegemea.

error: Content is protected !!