M/Kiti Kamati ya Hakimiliki

HomeKitaifa

M/Kiti Kamati ya Hakimiliki

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na MIchezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya haki miliki nchini pamoja na wajumbe wengine leo Julai 1,2022.

error: Content is protected !!