Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mchezo wa Boxing

HomeMichezo

 Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mchezo wa Boxing

1. Mchezo wa masumbwi (Boxing) ulianza Ugiriki mwaka 688 kabla ya kuzaliwa Kristo na ulikuwepo kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka huo.

2. Jina lingine la masumbwi (boxing) ni Pugulism

3. Mungu wa Kigiriki, Apollo, anaaminika kuwa ndiye aliyeanzisha mchezo wa Boxing.

4. Archie Moore ndiye anashikilia rekodi ya kushinda K.O nyingi zaidi, 141.

5. Muhammed Ali aliepuka kufanya ngono miezi miwili kabla ya mechi, hii ilimfanya asipigwe kwa mujibu wake.

6. Len Wickwar, amepigana mapambano 453, anashikilia rekodi ya kupigwa mara nyingi (127) na kushinda mara nyingi (336)

7. Gloves kwenye masumbwi zimesababisha vifo vingi kuliko kupigana mikono mikavu. Gloves lengo lake sio kupunguza madhara, bali ni kuongeza uzito wa ngumi na kupendezesha Knock-outs. Kuna ladha fulani kwa watazamaji wanaipata.

8. Ronda Rousey, Bingwa huyu wa ngumi za wanawake anasema kufanya sana ngono kabla ya mechi ni vizuri sana kwa kuwa zinachochea homoni ya Testosterone.

9. Mwaka 1949 kulipangwa pambano rasmi kati ya Dubu na Binadamu, Dubu akashinda.

10. Bondia mdogo zaidi kushinda taji ni Wilfred Benitez, alikuwa na miaka 17 tu, na ndiye anashikilia rekondi ya kushinda K.O nyingi kwenye mzunguko wa kwanza kuliko bondia yoyote duniani.

error: Content is protected !!