Mambo yazidi kupamba moto

HomeKitaifa

Mambo yazidi kupamba moto

Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi futa fikra hiyo kwani alichosema ni ukweli mtupu.

Hramonize alitangaza kwamba Kajala Masanja ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba ndiye atakaye kuwa meneja wake na hili limethibitishwa na mwanadada huyo baada ya kubadilisha taarifa zake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Muonekano wa taarifa za Kajala kwenye ukurasa wake wa Instagram

 

error: Content is protected !!