Manara afungiwa miaka 2

HomeMichezo

Manara afungiwa miaka 2

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia Msemaji wa Yanga Sc, Haji S. Manara kujihusisha na Soka ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili pamoja na kulipa faini kiasi Cha Tsh. milioni 20.

Hii ni baada ya kubainika kwa makosa mbalimbali ikiwemo kumtolea lugha chafu Rais wa TFF Bw. Wallace Karia.

error: Content is protected !!