Bi. Sonia afariki

HomeKitaifa

Bi. Sonia afariki

Muigizaji wa filamu, Farida Sabu maarufu Bi Sonia amefariki dunia.

Taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma imesema kuwa, Bi Sonia aliyewahi kutesa katika maigizo mbalimbali ya kundi la Kaole amefariki leo Alhamisi Julai 21, 2022 Zanzibari.

error: Content is protected !!