Mapendekezo ya ACT-Wazalendo juu ya watanzania waishio Ukraine

HomeKitaifa

Mapendekezo ya ACT-Wazalendo juu ya watanzania waishio Ukraine

Chama cha ACT Wazalendo kimeimba serikali ya Tanzania wakishirikiana na Wizara ya Mambo ya nje kutuma ndege itakayoweza kuwafuata watanzania waliopo nchini Ukraine.

Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Msemaji wa Kisekta, Mambo ya Nje wa Chama hicho, Ndugu. Dahlia Majid Hassan.

error: Content is protected !!